....Mh
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amri jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania ambaye pia ni
mwenyekiti wa CCM Taifa. — with Seda Hurui.
.......TAZAMA
RAMANIIIIII......UTAONA NCHI NZURIIII....YENYE MITO NA MAMBONDE MENGI
YA NAFAKAAAA.........NASEMA KWA KINYWA HALAFU KWA KUSITIRIIII....NCHI
HIYO MASHUHURI HUITWA TANZANIAA....MAJIRA YETU HAYAAAA....YANGEKUWAJE
SASAAAA....UCHUMI WA NCHI ...................AMETU..........!
........MIAKA 50 YA USHURU AU UHURU???? NAOMBA NISAIDIENI TAFADHALI.....!
mmarekani
na mbongo walkuwa wakisafiri katika ndege na safari ilikua ndefu ya
zaidi ya masaa 8, mmarekani akaona apoteze mda hivyo mmarekani akataka
kumuonesha mbongo, kuwa wazungu wanaakili sana....
akawa anamuulza maswali ya kijinga mbongo. mbongo kuona anaznguliwa akaamua kumpotezea, mana alikua amechoka na angependa alale apumzike lakini mmarekani akawa anasisitiza.
mmarekani akatoa wazo b
akawa anamuulza maswali ya kijinga mbongo. mbongo kuona anaznguliwa akaamua kumpotezea, mana alikua amechoka na angependa alale apumzike lakini mmarekani akawa anasisitiza.
mmarekani akatoa wazo b
asi
wacheze mchezo wa maswali, akamwambia mbongo kuwa waulizane maswali na
iwapo mbongo atashindwa kujibu ampatie mzungu dola 5 na iwapo mbongo
atauliza swali na mzungu atashindwa kujibu basi mzungu ampatie mbongo
dola 500. hii yote ilimradi mbongo asilale na wawepo wote kuupoteza mda.
mbongo akaona hapo ndo pakumlia na kumkomesha mmarekani. maswali yakaanza hivi
mzungu; rais wa tano wa USA anaitwa nan?
Mbongo hakuwa na jibu akatoa dola 5 akampa mzungu.
mzungu akacheka sana kisha akampa jibu
mbongo akauliza; ni kitu gani kinachopanda juu na miguu minne kisha kinarudi na mitatu?
Mzungu akawaza akafungua google, wikipedia, akawatumia rafiki zake mail lakini hakuna aliyekuwa na jibu.
baada ya masaa mawili akamuamsha mbongo aliyekuwa kapitiwa usingiz na kumpatia dola 500.
mbongo akapokea,akacheka kisha akarudi kulala
mzungu akamuuliza kwa ukali
"mpumbavu we mbona haujanipa jibu? ni kitu gani kinapanda juu na miguu minne kinashuka na mitatu?"
mbongo akatoa dola 5 akampa mzungu kisha akalala tena
Mzungu; "kenge mkubwa umeuliza swali ambalo haujui!"

No comments:
Post a Comment