Sunday, January 20, 2013

SHOW MPYA YA KUTOA SUPORT MUZIKI WA IRINGA INAITWA KUTOKA HOME......WITH NURU FM 93.5 IRINGA TANZANIA

                                                                                                  Ze Nelly B
   
NI KIPINDI CHA KUSAPOTI MUSIC WA HOME NYANDA ZAJUU KUSINI USUSANI IRINGA
...HAPA VIJANA KUTOKA MBEYA, IRINGA STONE CITY NDIO WANAPATA FURSA YA KUPIGIWA NYIMBO ZAO TUU ...INTERVIEW NA WASAANII KUTOKA KUSINI,,WATAPATA FURSA YA KUSHINDANA KUBATLE...
...PRESENTER WA.... KIPINDI.. NELLY CARLOS MSAMILA A.K.A ZE NELLY BEE,...AMBOSODOR....STAY TUNE 93.5 NURU FM, KUANZIA SAA MOJA 1:00 USIKU HADI SAA MIBILI NA NUSU USIKU 2:30 KILA JUMA PILI USIKOSE YOU DONT MISS

No comments: