
Mtangazaji maarufu wa radio uhuru fm iliyopo jengo la ccm dar es salaam anae fahamika kwa jina la soggy dogy amefukuzwa kazi kwenye kituo hicho cha radio na kukimbilia mkoani iringa kwaajili ya kutafuta ajira ya utangazaji radio zilizopo mkoani iringa,chanzo cha kukimbizwa na vilago vyake pale uhuru fm inasemekana ni ulevi kupindukia na kusahau ratiba za kazi na kualibu utaratibu wa vipindi vya radio hiyo, Tayali amekwisha pita radio iliyopo iringa kwaajili ya kufanya intervew ya kazi hata hivyo mameneja wa radio hiyo ijulikanayo kwa jina la country fm wamemtimua baada ya kugundua kama hana nidhamu ya kazi,Hivyo amekwenda kuomba kazi radio ijulikanayo kwa jina la ebony fm iliyopo hapo hapo irina na kukubaliwa kujiunga na wafanyakazi wa radio hiyo.........
No comments:
Post a Comment