Saturday, November 29, 2014

Kama ilikupita,hii ndiyo single mpya ya Kala Jeremiah.

Hili ni zao kutoka Bongo Star Search ambapo amefanikiwa kutoa single kadhaa ikiwemo Ndoto,Dear God,Wale wale,Jaribu kujiuliza,Simu ya mwisho na zingine nyingi kwa sasa katuletea hii ambayo inaitwa Usikate tamaa.
kala
Asilimia kubwa ya single za Kala Jeremiah huwa anazitoa pamoja na video,hivyo hii iko audio na video vyote unaweza kuvitazama hapa.

Bonyeza play kusikiliza audio ya Usikate tamaa

No comments: