Ni yule msanii ambaye kaimba nyimbo ya sambaza upendo ambayo huchezwa na Clouds fm kama jingle ya kuanzia kipindi pia kunanyimbo kafanya na Attu Diva Supernyota tokea Iringa nyimbo inaitwa Do you ambayo bado inafanya poa katika vituo vingi vya redio hapa Tz

No comments:
Post a Comment