Saturday, November 29, 2014

Video Ya P-Square ‘Personally’ Yaweka Rekodi Youtube Kwa Video Za Africa.

Kituo cha Mtv Base kimeripoti kuwa video ya wasanii kutoka Nigeria P Square ‘Personally’ imefikia watazamaji milioni 30 kwenye mtandao wa youtube na kuweka rakodi ya video ya wimbo iliyotazamwa zaidi Africa.

Video ya Personally iliongozwa na kaka wa P Square ambaye ni Jude Engees Okoye akishirikiana na Clarence Peters. Video iliwekwa mtandaoni June 21 2013 na mpaka sasa imetazamwa mara 30,319,899.

psquare

No comments: