
wengi ambao walipenda mziki wangu na bado wanauliza kitu kipya natoa lini?? jibu ni kwamba wakae tayari kuna mzigo mpyaaa hatari ambao unamaliziwa studio na produser yule yule mkali muntu mutu kutoka green city mbeya nawapa ahadi mashabiki wangu kua sipo tayari kuacha mwezi wa tatu uishe bila kuachia dude la nguvu ambalo kwa hakika litawaacha midomo wazi ASANTE
No comments:
Post a Comment