
Rymir anataka vipimo vya DNA Ila Jay z hajakubali kufanya hivyo ndio maana mpaka sasa kijana huyu amechukua hatua ya kwenda mahakamani kutaka mahakama ilazimesha vipimo hivyo.
Rymir analalamika kuwa ameishi kwenye maisha ya shida huku baba yake akiwa tajiri kwa muda mrefu. Jay Z anajulikana kuwa na mtoto mmoja tu ambaye ni Blue Ivy Carter na mke wake ambaye ni Beyoncé Knowles

No comments:
Post a Comment