Tanzania imeshindwa kutokomeza mauaji na ukatili wa ALBINO vyombo vya habari vinakosa ushilikiano na serikali
Mkurugenzi wa Times radio Fm Mr Rehure Nyaulawa Akiwa katika picha mbali mbali ,baada ya kumtembelea na kumfariji bi Ester Jonas mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi aliyeuawa
huko geita ambaye amelazwa katika hospitali ya rufaa Bugando ,Mwanza .
Tujali sote ili kutokomeza vitendo vya kikatili na kinyama vinavyoendelea kuwakumba ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi hapa nchini
No comments:
Post a Comment