Thursday, February 19, 2015

Ommy Dimpoz alizuiwa kuingia Marekani baada tu ya kushuka kwenye ndege.

Ni stori ambazo zilitoka mwanzoni mwa wiki hii kwamba Ommy Dimpoz mkali wa bongofleva alizuiwa kuingia nchini Marekani muda mfupi tu baada ya kushuka kwenye ndege, kisa ?

Bonyeza play hapa chini umpate mwenyewe akiongea kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

No comments: