Wednesday, February 18, 2015

Picha,Rihanna amuenzi mbunifu Alexander McQueen kwa haya mavazi na hizi picha.

Msanii wa Rnb Rihanna amekuwa akitawala majarida tofauti hivi karibuni kama kawaida yake. Jana usiku amemuenzi mbunifu wa mavazi mkubwa duniani Alexander McQueen.
Rihanna-x-AnOther-Magazine-1
Inasemekana Rihanna amekubali kufanya photo shoot zote hizi kwaajili ya kutoa album yake mpya ya R8, Je lini inatoka ,tunasubiri.
Rihanna-x-AnOther-Magazine-2

No comments: