Video ya jinsi Barnaba na Vanessa Mdee walivyokuwa wakiitengeneza video yao mpya.
Ni wimbo wao wa pamoja Barnaba na Vanessa Mdee ambapo baada ya single kuanza kupata airtime ya kutosha wameamua ihamie na kwenye TV pia ndio maana waliingia location Dar es salaam kukitengeneza kichupa.
No comments:
Post a Comment