
Mtangazaji wa kituo cha radio EBONY FM IRINGA.mchizi EDDO BASHIRI nimmoja ya watu ambao wanapenda kusaport mziki wetu wa bongo fleva na kuakikisha unafika mbali zaidi.EDDO pia amejizolea sifa nyingi sana kwakipindi chake anachokifanya cha ONE SIX ambacho kinausisha burudani za IRINGA na nje YA IRINGA pia.wengi umwita BABA WAWILIIIIIIIIIIII!!!!!posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment