Monday, September 10, 2012

Ngwair: Nawakubali ‘mapunga’ sababu wanapunguza ‘competition lakini......


Albert Mangwea haoni shida kuona wanaume mashoga kwasababu anaamini wanampunguzia ushindani wa kupata mademu. Lakini anasema tatizo ni kwa wanawake wasagaji ambao mjini wanaendelea kuwa wengi. Hata hivyo ana plan kichwani nayo si nyingine zaidi ya kuwatandika mimba wote! Really Ngwair?

No comments: