Lord Eyez baada ya kukamatwa akiiba
Pia kupitia BBM Ommy ameongeza kwa kuandika:
“Kwenye dp yangu sio ajali ni wezi wa power windows wakiongozwa na msanii mwenzangu wa bongo flava Lord Eyez ndo wameiba mpaka plate number tumeshamkamta lakini.”
Lord Eyez akiwa chini ya ulinzi
No comments:
Post a Comment