Polisi wakipita maeneo ya Mtambani-Kinondoni kuzuia maandamano ya jana
Magari ya wanajeshi yakizunguka maeneo ya Kariakoo
ESTHER WASIRA
Mwalimu Nyerere must be MOURNING in his grave! Nani ameharibu Amani ya nchi yetu!! Leo ‘Bandari ya Salama’ ndio huu uwanja wa damu???!!! Tunachinjana kama wanyama!! Oh Mwalimu,ndio haya uliyotuelekeza!? Nani alaumiwe?? Hii dhamana ni ya nani?? Oh Heavenly Father,pour out your wrath on all who destroy our long-lived Peace!!
Maria Sarungi-Tsehai
Inabidi sote tutake amani na tuhakikisha tunakuwa na amani. Mi naamini watanzania tulio wengi tunapenda amani ila tatizo kuna presha nyingi za kisiasa, kiuchumi na kijamii kutupotosha. Tusimame pamoja.
Lady JayDee
Kumbe Tanzania kuna udini?
Soggy Doggy
TANZANIA…SHETANI GANI TENA HILI LIMETUKUMBA??????
Deejay-jona Jonathan Mgendera hii ndo tanzaniaaaaaaaaaaaaa
GODZILLA“We must learn to live together asbrothers, or we are going to perish together as fools.”
Albino Fulani
Hivi unafikiri JK angesimama akasema, “Waislam mnaoleta fujo,mimi siko na nyinyi” fujo zingeendelea?They know what house they are knocking!
No comments:
Post a Comment