Wednesday, October 31, 2012

KUNAMABADILIKO MAKUBWA KWENYE CHATI HII TOP TEN ZA NYANDA ZA JUU KUSINI...31/10

NAFASI YA KUMI MPAKA NAFASI YA KWANZA

                                               COUNTRY FM 88.5 IRINGA
 
Isiaka Zayumba Isiaka McNafasi ya 10.....ISIAKA MC    NAFANYA HIP HOP
  •  Nafasi ya   9.....ZINTY    ZAMBI ZANGU
  • Nafasi ya    8.....MEDA    NATAMANI
Nafasi ya    7.....IBRA   MBONA UMENUNA

Nafasi ya    6.....MECKON     MAUZA UZA

Nafasi ya    5.......
MGC     KAULI

Nafasi ya    4.......PEACE E     SIPO KIIVYO


Collins MonahNafasi ya    3........COLLINS    NILIKUPENDA  
 Nafasi ya     2.......DJ  NAS     CHAP CHAP

Nafasi ya     1.......ATU   WAZAMANI

    
  " WAKAZI  FAMILY     MSKILIZE==BONUS TRUCK

 88.5 COUNTRY FM TOP TEN NYANDA  ZA JUU KUSINI IRINGA
 

                anaitwa nickson sanga aka dj nass ni mtangazaji pia ni mtayarishaji wa hizi chati ambazo huluka moja kwa moja kupitia kituo cha radio cha COUNTRY FM 88.5 iringa tanzania kila siku za jumatano kwenye show iitwayo ngoma za mchana ambayo huanzia mishale ya saa saba na nusu mchana pia jamaa anafanya muziki wa hip hop kafanya truck kibao ikiwemo chap chap ambayo inafanya vizuri kwa sasa kwenye radio na tv kwa kuipata hii truck iitwayo chap chap search google andikaDJ NAS- chap chap utaipata video ya hiyo truck pia audio yake...............posted by deejay jona

No comments: