MISS Kinondoni 2009, Stella Mbuge amefunguka kuwa ugonjwa wa mpenzi wake
Joseph Shamba ‘Vengu’, memba wa Orijino Komedi si sababu ya kumuacha na
kuhangaika na wanaume wengine.
Akipiga stori na mpekuzi , Stella alisema, anatambua kuugua ni sehemu ya
maisha na jambo kubwa kwa sasa ni kumuombea mpenzi wake huyo apone
haraka na kuendelea na maisha yao kama kawaida.
“Vengu ana thamani kubwa kwangu, siwezi kumuacha wala kumsaliti. Ndugu zake wananipenda na kunipa ushirikiano mzuri. Nashukuru anaendelea vizuri na ninaamini siku si nyingi atarudi kazini,” alisema Stella.

No comments:
Post a Comment