Saturday, November 17, 2012

LORD EYEZ ALONGA NA WAHANDISHI WA HABARI KUHUSU KESI ZA WIZI ZINAZOMKABILI

Wakili wa msanii Lord Eyez, Peter Kibatala (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Lord Eyez.
Lord Eyez akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na tuhuma za wizi zinazomkabili.…
Wakili wa msanii Lord Eyez, Peter Kibatala (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Lord Eyez.
Lord Eyez akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na tuhuma za wizi zinazomkabili.
Msanii wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili nae akilonga na wanahabari wakati wa mkutano huo ndani ya hoteli ya Double View iliyopo Sinza jijini Dar.
Lord Eyez na wakili wake, Peter Kibatala wakiwa katika pozi baada ya mkutano na wanahabari.
Msanii wa kundi la Weusi, Lord Eyez hivi karibuni alikutana na waandishi wa habari akiwa na wakili wake, Peter Kibatala ili kuzungumzia machache kuhusu kesi inayomkabili ya wizi wa vifaa vya gari. Tukio hilo lilifanyika katika hoteli ya Double View iliyopo Mapambano, Sinza jijini Dar es Salaam.
Eyez alisema kuwa anaiachia mahakama ndiyo itaweza kuchukua maamuzi ya kisheria kama yeye alihusika ama hakuhusika katika wizi huo wa vifaa vya gari la msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz.

No comments: