Saturday, November 17, 2012

MUONEKANO MPYA WA DAZ BABA WAWASHANGAZA WENGI


Cover Photo
                    HAPO JUU  DAZ BABA KABLA HAJANYOA RASTA

          HAPO CHINI NI BAADHI YA RAIA WAKICOMMENT MUONEKANO WA DAZ BABA   FACEBOOK
  • Photo: Muonekano mpya wa Daz Baba baada ya kunyoa rasta zake....
    Baraka Luvanga Daz baba jipange kiukweli nyimbo zako kali ila huu mda sio wakufichanafichana acha poda ndio inakutoa kwenye reli yamusic nakuuchakaza mwili umekua kama babu kumbe bado kijana tu.

    Salvatory Anatory km katoka jera!!!!!!!!!!

    • Onesmo John acha kubwia unga na bang daaaaaaaaah!@daz umechoka mbaya jiangalie
      Michaely Benard hiiii! Km mzee wa age ya 67 kabugi chek alivyoisha ata b kudude mrembo! Unga nomaaaaaaaa!

      • Da'tricks Goodlyfe hahahahaaaaaaaaaaa....... Mchiz kanyookaaaaaa, kaa icho kidole alichoeka mdomon. hahahaaaaaaa..... Daz eeee tunakufil, ila sdhan kaa utarud kama mwanzo. Ni ngumu kwa dunia ya sasa.....
        Hassan Sapi 2day nimekaa na daz pande za kwao kwel daz amebadilika na mimi kama dir wa Excellent level 2meamua kufanya nae video moja daz ame2kabidhi track leo hii kuanza maadaliz daz anakuja vingine pia anaweza uyu jamaa 

        • Amiry Chadua Ebwanaeee inajulixha maixha yke ni ya kukop na kupest mpaka ymepelekea kuwa ivyo jaman inammbidi akaze buti
          10 hours ago · Like............................posted by deejay jona

No comments: