Baada ya kuachia ngoma yake ya Summer Holiday na kufanya vizuri katika media tofauti tz na nje ya tz sasa msanii Baby Madaha ameamua kuachia video ya ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Squeez Me Tight. Angalia video yenyewe hapa chini… niiiiii bonge moja la video
No comments:
Post a Comment