Tuesday, October 29, 2013

(EXCLUSIVE)....SOMA WOSIA WA PRODUCER MKONGWE WA MUZIKI MKOANI IRINGA Producer KAGUSA ANDRE WARCHILD

I NEED TO CONCLUDE MY 22 years za kukaa iringa......
Hustle juu ya hustle...pain over another..........
Thanks to all people walionisaport kama mdogo wao........narudia thanks sana to my one na true brother George Msandi kaka wangu wa damu Gervas Mahimbi kaka katika harakati Robert Kisinini kaka aliyenipa support na mtu anayeamini katika mengi ninayoyafanya somebody aliyeamini i can do something Lusajo Mwakasege......i all due respect walionifundisha kushika kamera honestly i appreciate them much Mario Lusoko unajua sikuwa najua hata betry zinakaa wapi...sijui nikulipe nini ndugu yangu....nimejaribu kusimama nikiwa hapa hard na wote mnajua na jinsi ambavyo nimeshindwa kufikia matarajio makubwa niliyojiwekea you all know that.....beyond simple smile am wearing moyoni nina majonzi mengi yasiyomithirika....wanaume huwaga hawalii ila honestly i cried alot recently.....thanks to all media....media hazijawahi kunidai hata shilingi moja asnte country asante ebony asanten watu wa nuru....simple, nelly........ nas... temmy yeyo everyone aliyewahi kupiga nyimbo yoyote niliyowahi kutengeneza........WE HAVE TO END THE ERA....WE WERE GOOD BUT NEVER GOOD ENOUGH...ASANTENI WANA IRINGA...
PEACE OUT....I WAS HERE.....
  
Tayari amekwisha tengeneza kazi kibao za wasanii mkoani Iringa zikiwemo za msanii MAN KICHEFU ambazo bado zinafanya poa katika vituo vya radio na luninga mikoa ya nyanda za juu kusini na tz kwa ujumla, Sikiliza truck ya man kichefu iitwayo wanahofia ikiwa ni mikono ya producer huyu mkongwe nyanda za juu kusini...........

No comments: