Sunday, October 27, 2013

EXCLUSIVE KUHUSU MWANADASHOST BABY MADAHA KUZINDUA PAFYUM YAKE IITWAYO (CANDY N CANDY FRAGRANCE)

Msanii wa Bongo Fleva,Baby Madaha ambaye miezi michache iliyopita alikula mkataba mnono na cand & candy records alisema kwamba ameshazindua perfume zake jijini Nairobi na sasa anakuja kuzindua tena hapa TZ.

kama hiyo haitoshi pia Madaha aliongezea maneno haya kupitia ukurasa wake wa facebook “THATZ MEEE,WAKIWA WANAKAZANA KUUZA SURA MI NAZINDUA MANUKATO YANGU”CANDY N CANDY”KESHOO TZ STAY TUNED I LOVE MA FANS,I CHALLENGE MA HATERS KAZI KWENU…
 Msanii wa Bongo Fleva,Baby Madaha ambaye miezi michache iliyopita alikula mkataba mnono na cand & candy records alisema kwamba ameshazindua perfume zake jijini Nairobi na sasa anakuja kuzindua tena hapa TZ.
 kama hiyo haitoshi pia Madaha aliongezea maneno haya kupitia ukurasa wake wa facebook “THATZ MEEE,WAKIWA WANAKAZANA KUUZA SURA MI NAZINDUA MANUKATO YANGU”CANDY N CANDY”KESHOO TZ STAY TUNED I LOVE MA FANS,I CHALLENGE MA HATERS KAZI KWENU AISEE!!!!!!!!!”

No comments: