Picha hapo chini anaitwa ZE NELLY BE ambaye ni mtayarishaji na mtangazaji wa show ya weekend explosion radio nuru fm iringa, na ni moja kati ya prisenter mstari wa mbele kwa kutoa suport muziki unaofanywa na wasanii tokea nyanda za juu ususani maskani penyewe iringa town, achilia mbali hii show ipo show ambayo ni mahsusi kwaajili ya wasanii tokea pande zile za iringa show uaga kila siku kama za leo j pili. show inaitwa kutoka home ikiwa inamaanisha kutokea iringa town palepale ndo suport ya nguvu inatokea mida ni saa moja za jioni mpaka mbili na nusu za usiku bila kukosa kama upo iringa town fanya kusogea katika freequenc hizi 93.5 nuru fm ndo mpango mzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........................

ZE NELLY BE
No comments:
Post a Comment