Thursday, October 31, 2013

From the rap City Mwanza tz, New heat Diss kw YOUNG KILLER Artist anajulikana kwa jina la YOUNG RAFA amempa collable Denis love

 Msikilize dogo coz ni kichwa. Verse ya pili kamjibu Young Killer coz
Killer alimdiss yeye kwenye Jana na leo( REF: "....Siyo kila Young ni
Killer..." na "....Mwanza ukimtoa Fid na mimi Kadgoo ndo rapa best.."
Majibu yako humu.
Song: Forever
Artist: Young Rafa_ft_Denis Love
Prod Mnyambudu
Delta Media Studios Mwanza
Genre: Hiphop

No comments: