Saturday, November 2, 2013

TIZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA STAGE NA SOUND CHECK YA MTIKISIKO 2013 MAKAMBAKO LEO TAREHE 2/11/2013 INAYOANDALIWA NA EBONY FM 87.8 IRINGA TZ


 List ni ndefu sana Linex Ney wamitego Madee Young k Darasa Sogy dogy Dj nas Edo boy Nemo Squizer One n star Nawengine kibao pale Amani Makambako  kama unaimba fanya kumtafuta dj nass ili umpe cd yako faster......................
 Photo: Sound check...Mtikisiko 2013...D Seven
Photo: Hatua za mwisho za maandalizi Mtikisiko 2013 makambako....maliza maliza haiyaaaaaa  
Photo: Mzigo ndo ushaanza kushushwa ndani ya makambako...Mtikisiko 2013..dah haya maandalizi nouma            
Photo         
Photo

No comments: