Friday, October 31, 2014

87.8 Ebonyfm Iringa:Show ya Mtikisiko kufanyika Mbeya kesho Nov 1 wasanii kibao jukwaa moja

Show bab kubwa nyanda za juu kusini uaga tunaiita mdogo wake na Fiesta coz ni bonge moja la show ambayo hukutanisha wasanii kibaoooo ambao wanafanya poa katika gem ya muziki tokea dar es salaam na mikoa ambayo radio Ebony fm inasikika namaanisha kuwaweka wasanii chipukizi

jukwaa moja wa wasanii wakongwe, Sow hii imepewa jina la Mtikisiko ambayo kwa msimu huu
imeanza na Makambako Then kesho siku ya Jmos Tarehe 1 Show hii inafanyika jijini Mbeya, akipiga story na mtandao huu wa Djjonamusic Blog Dj nas amesema tayari yupo jijini mbeya kwaajili ya kuweka mambo sawa

No comments: