Friday, October 31, 2014

Nemy Msigala aka Nemy anusulika kuvunjika mkono Apata ajali ya Bodaboda

Msanii wa miondoko ya Hip Hop mkoani ambaye ametoa heat ambayo kwa sasa ndo nyimbo ambayo haikosekani katika playlist za redio nyanda za juu kusini Iringa Nemy msigala aka Nemy jana alipata ajali ya Bodaboda na kupelekea kupata majeraha katika mkono wake wa kushoto na maumivu makali shingoni akipiga story na Djjonamusic Blog Nemy amesema kwa sasa anaendelea vizuri


Team Djjonamusic Blog inatoa pole kwa msanii Nemy.

No comments: