Muigizaji wa filamu Mzee Manento aliyewahi kuigiza filamu kama Hero of the church, Dar to Lagos na Fake Pastor amefariki dunia jana

Mzee Chilo ameiambia Djjonamusic blo kuwa amepokea taarifa za kufariki kwa msanii huyo.
“Hata mimi nimepata taarifa hizo, lakini sijajua msiba upo wapi na mimi ndo nataka kuanza kufuatilia, kweli amefariki, ni mkristo kwahiyo nadhani hawawezi zika mapema hii. Nimesikia amefia katika hospitali na TMJ,” amesema Mzee Chilo
Credit:Bongo5.com
No comments:
Post a Comment