Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes, ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia.

“RIP Batuli. Amefariki juzi mazishi yalikua ni jana kisutu. Dada yng mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote. Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali ktk video yng ya nampenda yy na kwa nguvu za mungu tulifanikiwa,” ameandika Temba.
No comments:
Post a Comment