Friday, October 31, 2014

Wananchi wachoma jengo la bunge na kuvamia ikulu nchini Burkina Faso

Waandamaji wenye hasira nchini Burkina Faso wamelichoma moto jengo la bunge kufuatia mipango ya Rais Blaise Compaore kutaka kurefusha kipindi chake cha utawala uliodumu kwa miaka 27
783651-image-1414686736-100-640x480
Mamia ya watu walivuka ulinzi mkali katika jengo la bunge katika mji mkuu Ouagadougou, ambapo walichoma moto magari kabla ya kukivamia kituo cha runinga cha serikali na kisha ikulu
Mtu mmoja aliuawa katika vurugu hizo zilizozuka muda mfupi kabla ya wabunge kupigia kura sheria ambayo ingemwezesha Compaore — aliyeingia madarakani mwaka 1987 kwa mapinduzi 

No comments: