Baada ya kufanya poa na KanyaBoya sasa Mesen Selekta kuludi tena na Heat nyingine
Wimbo mpya Kutoka De Fatality music : Baada ya Kanyaboya kusafiri katika mawimbi ya sauti na Video ya watu weng ni wakati muafaka Mesen selekta kuachia wimbo wake mpya ambaooo Utatoka hivi karibuni... Endelea kuwa Karibu Nasi kwa Updates
No comments:
Post a Comment