Wednesday, November 26, 2014

Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi, Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa

-‘…Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi….”
Screen Shot 2014-11-25 at 9.07.27 PM
-“… Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa…’.
-‘…Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi. Kuachia ngazi tu haitoshi…’.

— Dr Wilbrod Slaa (@wilbrodslaa) November 23, 2014


No comments: