Tuesday, November 11, 2014

Chidi Benz Mahakamani tena leo, Atoa machozi mahakamani akidai vyombo vya habari ndo chanzo cha kukamatwa

Rapper  Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz  ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam.
.

.

.
Taarifa kutoka mahakamani kwenye upande wa Jamhuri zinasema upande huo umeomba kesi ya msanii huyo ipelekwe mpaka December 1 2014 mpaka upelelezi ukamilike.
.
November 10 2014 Chidi Benz aliandika kwenye page yake ya twitter >>> ‘Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkasi Kisutu, niombeeni kheri koz najua wapo wanaohitaji bado. #vitu mbalimbali
Screen Shot 2014-11-11 at 11.00.00 AM

No comments: