Diamond Platnumz aweka historia Iringa haijawahi kutokea Show ya Mtikisiko2014Ebonyfm yajaza samora Stadium
Kitu ambacho hakikutarajiwa na uongozi mzima wa ebony fm na kamati ya show hiyo ya mtikisiko iliyofanyika jana katika viwanja vya samora kutokana na uwingi wa mashabiki, Ilikua kama wengi wao walikua wakimsubili Diamond Platnumz, Waliopanga kuleta fujo wakajikuta wakiweka shangwe alipopanda Diamond platnumz
No comments:
Post a Comment