
@petitman_wakuache or any other person.. Its because those are my people niko nao mara nyingi ila sio lazima to post anything about them.... So if i post am having sex... Am naked.. Am eating or anything its my page....GET That.... back to BMW and mahusiano ya hao watu wawili sihusiki na
sina taarifa about kuachana kwao... Na kama wameachana watakuwa wamechokana wenyewe.... Mimi niwe chanzo cha kuachana kwao kwakuwa nilikuwa kuwadi wa kuwakutanisha?? Kawa walivyotongozana ndo watakavyoachana.... Tatizo lenu mmekariri maisha na akili za matope kulainika kila mkimwagiwa maji..... Ukijiona ni bingwa wa matusi fungua page yako tukana...... Nasemajeeeeeeee #NdoIshakuwa na mkae mkijua FARASI UMPANDAE AKUTISHI KWA MBIO ZAKE........' Kadinda.
No comments:
Post a Comment