Saturday, November 22, 2014

Eddo Bashir aitwa mpiga kelele na msanii Najo Mkali show ya Mtikisiko yaumiza vichwa vya wasanii Iringa

Ni baada ya mtangazaji maarufu wa kituo cha redio cha Ebony fm Iringa kutoa onyo kwa msanii najo mkali kufuatia siku chache zilizopita msanii huyo kutangaza kupinga ujio wa Diamond Platnumz

                                                  Eddo Bashir kulia mwa picha juu
 kwenye shoo ya Mtikisiko inayofanyika leo mkoani Iringa katika viwanja vya Samora, Eddo Bashir alitoa onyo hiyo katika page yake ya facebook siku ya jana ambapo baada ya Eddo kuandika vile na Msanii Najo Mkali akaandika kupitia ukurasa wake wa facebook hayo apo chini


                                    Najo Mkali
Wee mpiga kelele uctafute jina kwangu ka ulivyonipa onyo kwa page yako so Vunga 2
JION NJEMA
‪#‎NAUDAI_MUZIKI‬
mr SILALI

No comments: