
Siku ya tarehe 26 jumatano kutakua na bonge moja la show katika Club kubwa mkoani iringa inaitwa Club V.I.P kituo cha redio cha Nuru fm kinamdondosha msanii tokea Dar es salaam Mr Blue ambaye siku mbili zilizopita ameachia kichupa cha wimbo wake wa pesa, Hapa inaonesha kama
kunaushindani kuhusiana na burudani kwa kuwaleta hawa wasanii ambao wapo katika Headlines hapa Tanzania katika Media tofauti
No comments:
Post a Comment