Hizi Picha Za Amini Akiagwa,Ametoka THT November 10,2014
Jumba la vipaji Tanzania THT limemuaga rasmi kijana wao Amini November 10 2014 baada ya mafunzo na kufanya nae kazi kwa mafanikio kwa miaka 9. Amini amekuwa msanii wa pili kuagwa na kupata usimamizi mpya baada ya Linnah kuhamia No Fake Zoke Katokati ya mwaka huu. Wimbo wa kwanza kutoka kwa Amini utaitwa Mbeleko, Video na Audio ziko tayari kutoka. Amini atasimamiwa na kampuni ya BME.
No comments:
Post a Comment