Wednesday, November 12, 2014

Quick Rocka : Chanzo cha U naijeria mwingi ni Biashara

Msanii anaefanya vizuri katika muziki nchini Quick Rocka a.k.a Switcher amesema sababu kubwa ambayo inasababisha wasanii wengi wa muziiki wa Bongo Flava ni Mfumo wa Kibiashara ulivyo hivi sasa
Quick Rocka : Chanzo cha U naijeria mwingi ni Biashara
Quick Rocka alisema hayo alipokua katika mahojiano na kipindi cha The Jump Off cha Times Fm 100.5 ambapo alidai kuwa wasanii wengi hivi sasa wameamua kubadilika na kufanya muziki unaofanana na muziki kutoka Nigeria ambao hata hivyo alisema kwua kwa upade wake hauna nafasi sana licha ya kukiri kupita njia hizo

"Muziki sasa ni bioashara  na sio hobby kama yulivokua tunauchukulia wakati tupo shule na kama mtu unafanya biashara na unajua umuhimu wa biashara na unajua biashara ipo wapi tunaangallia nin kina trend na kina leta ugali mezani kwa hiyo tunafanya hivyo,mi ni mfanyabiashara hata leo  nkiona Reggae  inauza sana nta switch ndio maana naitwa switcher sio kwa hiyo na switch kila kitu" alisema Quickie
kwa upande mwingine msanii huyo amesema kua kwa sasa anajiandaa kutoka na wimbo ambao anatarajia kumshirikisha Young Dee na kusema kuwa taarifa kamili zitatoka hapo baadae atakapo kamilisha na mipango mingine ya wimbo huo

No comments: