
aliyokua mtangazaji wa Redio free africa ambaye kwa sasa ni editor wa mtandao wa Bongo5 pia ni Rapper mara tuu baada ya kupata nafasi ya kuwakufunzi wafanyakazi wa redio Kings FM 104.1 Njombe nyanda za juu kusini semina hiyo itadumu kwa muda wa siku tatu, Fredrick bundala
ameuambia mtandao wa Djjonamusic blog kuwa redio iko vizuri na timu yake imesimama amesema anaamini kwa miaka michache itakuwa gumzo nyanda za juu kusini.
No comments:
Post a Comment