Monday, November 10, 2014

Huu ndio Wimbo aliotungiwa Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond

Baada ya Kitu Mapenzi kuendelea kuwa chungu kwa Wema Sepetu na baada ya juzi kati tena kuskia ameachana na mpenzi wake Diamond, Msanii mwingine wa kizazi kipya Sir Tino aamua kumtungia wimbo Wema Sepetu na kumpa ushauri mzito…ngoma yenyewe hii hapa


No comments: