Monday, November 10, 2014

HabariNzuri,Picha, Jinsi Wema Sepetu Na Penny Walivyopatanishwa Na Aliyewapatanisha


Habari nzuri kwa mashabiki wa Wema na Penny wanaopenda amani na umoja, mtangazaji wa radio na Tv Penny Mungila aka VJ Penny na Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao. Mastaa hawa waligombana na kutengana kwa muda mfupi kabla ya watu kujua kinachoendelea kati yao.


 
Wema na Penny wamewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwimbaji wa bongo fleva Diamond Platnum A.k.a Naseeb Abdul na ni miongoni mwa mastaa wa kike walioandikwa zaidi kwenye magazeti hivi karibuni.

Wamepatanisha na Dada Junaitha baada ya kuandaa chakula cha usiku kwenye hoteli ya Sea Cliff Dar es salaam.  
 

Huyu ndio dada Junaitha

Salma Msangi Na Wema Sepetu

No comments: