Picha:Washindi kumi waliofanikiwa kusainishwa katika Studio za Mandai Intertainment
Ilikua michuano migumu kwa upande wa waandaaji na majaji wa kuwasaka wasanii kumi watakaokaa katika Rebo ya Mandai Intertainment, Akiuambia mtandao wa Djjonamusic blog ndugu Ally Abdallah ambaye pia ni meneja na msemaji mkuu wa Mandai Intertainment alisema changamoto ilikua kubwa sana na washiriki waliojitokeza ilikua ni tofauti na walivyofikilia washiriki walijitokeza ni zaidi ya miambili alisema,
No comments:
Post a Comment