Thursday, November 13, 2014

Jaguar Amekuwa Msanii Mwingine Mkubwa Kufanya Collabo Na Msanii Huyu Wa Nigeria

Jaguar amekuwa msanii mwingine mkubwa kutoka Kenya kufanya collabo na msanii wa Nigeria Iyanya baada ya Sauti Sol kumshirikisha msanii huyu kwenye wimbo wao 'Sura Yako' .

Iyanya ametufahamisha kupitia instagram yake kuwa anafanya video na Jaguar 'One Centimeter Remxi'

No comments: