Thursday, November 13, 2014

Show Ya Weusi Yahairishwa Kufuatia Kifo Cha Geez Mabovu,@nikkwapili 'Ela Sio Kila Kitu,We All Raping For Respect'

Show ya Weusi Ya Funga Mwaka iliyopangwa kufanyika Mbeya imehirishwa baada ya kifo cha Rapper Gez Mabovu.

Msemaji wa kampuni ya Weusi Nikki Wa Pili Alitoa ujumbe Instagram "Ela sio kila kitu.. We all raping for respect...Tunapenda kuwatangazia ma fansi wetu wa Mbeya kuwa funga mwaka la Weusi...limehirishwa kutokana na kifo cha mwana Hiphop mwenzetu..R.I.P Geez Mabovu "


 

No comments: