.Jarida la Paper limezungumziwa zaidi wiki hii kwenye blogs na mitandao ya kijamii baada ya kuingia gharama ya kupata cover lenye picha ya utupu ya Kim Kardashian.
Kim K "Wanasema sina kipaji, jaribu kuweka glasi isimame kwenye makalio yako"
Hii ndio picha anayozungumzia Kim

No comments:
Post a Comment