
redio Ebony fm huanzia masafa yake na show uaga ni kubwa zaidi ya mikoa mingineyo na huletwa mastaa wakubwa katika tasnia ya muziki hapa tanzania pia huwa ni neema kwa wasanii waliopo mkoani iringa kwa kupata nafasi ya ku share steji moja na wasanii wakubwa hapa nchini ambapo kwa mwaka huu anadondoshwa Diamond Platnumz.
Linex
Izzo b
Khadija kopa
Tid
Matonya
Steve wa r&b
Kala jeremia
Rachel
Meckon
In africa band
Ange Taina
Nemy mc
Meda mack boy
Ammy
chiba
lily stiga
Jovick cliff
Bob rudala
Jerry wa ryhmes
hining star
De gozby
Daz jeff
Bizman
Nyamidela
Ob msigwa
Alex a.k.a twiz
Attu
Man kichefu
No comments:
Post a Comment