Uongozi wa uda ulituma meseji hii,m kwa wafanyakazi wa uda wote.
Habari kwa madereva wote wa uda,kutokana na kikao cha uongozi wa UDA na uongozi wa madereva wa UDA,maamuzi yafuatayo yametolewa.
Hesabu itabaki kuwa 205000/= kwa hiyo kama hautakubaliana na hesabu hiyo njoo kesho asubuhi saa 2:30 asubuhi aandika barua ya kuacha kazi na kama utakubaliana na hesabu ya 205000/= njoo alfajili kuanzia saa 10:30 kwa ajili ya kuamsha gari.
No comments:
Post a Comment