Friday, November 14, 2014

Hii Namba Ya Wanaume Wanaopigwa Na Kukatwa Sehemu Za Siri Kenya Na Wanawake Zao

Pamekuwa na taarifa za kuteswa na kunyanyaswa kwa wanaume wa Kenya walioko kwenye ndoa kiasi cha kupelekea ndoa na familia nyingi kuvunjika

Wanaume wapatao 310 nchini Kenya wamepigwa na wanawake wao katika mwaka huu, ambapo miongoni mwao 110 walikatwa sehemu zao za siri.
Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo ya Wanaume Kenya, Bw. Nderitu Njoka, amesema miongoni mwa wahanga hao wapo pia wanaume ambao wameunguzwa kwa kumwagiwa maji ya moto na tindikali.  

No comments: